Tanzania Police Staff College

Domitories

Chuo cha DPA kina mabweni mazuri kwa ajili ya askari na maafisa wa ngazi tofauti wanaohudhuria kozi katika chuo.

Classes

Chuo cha DPA  kina madarasa mazuri yaliojengwa kisasa kwa ajili ya  kuendeshe kozi mbalimbali kwa askari na maafisa wa ngazi tofautitofauti.

Computer Lab

Ni madarasa ya komputa kwa ajili ya wanafunzi kujifunzia na kufanya mitihani mbalimbali kwa njia ya kompyuta,baadhi ya askari wakiwa katika mafunzo ya utumiaji wa kompyuta.

Stadium

Chuo cha DPA kina uwanja wa michezo kwa ajili ya askari na maafisa wanahodhuria kozi mbalimbali.